moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Inadaiwa kila anavyozidi.kwenda juu zaidi ndivyo anavyoona kwa ufasaha windo lakeTai ana jicho la kuona mbali
Na ni ndege anayeenda juu mno angani kuliko ndege wote hadi kuyapita mawingu
Pia tai hufurahia sana mvua kubwa inayoambatana na upepo inaponyesha View attachment 922395