capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nenda kapige kura yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo mkuu majukumu plus mwisho wa mwaka mahesabu malengo hayajatimia nakimbiza muda uliobakiTulikuremember Sana [emoji16]
HahahaHili ni tatizo la Kagere View attachment 922373
[emoji16][emoji16] Bora uhai inakimbiza sana, kura tunapigia wapi bro?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo mkuu majukumu plus mwisho wa mwaka mahesabu malengo hayajatimia nakimbiza muda uliobaki
Asante kwa taarifa hii mkuuUongozi mpya wa Simba Sc Company Limited upande wa wanachama View attachment 922366
Asante kwa taarifa, ubarikiweThis is Simba Sc View attachment 922380
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Ni aibu yake mwandishi hiyoMwandishi wa hiki kichwa cha habari anajisikiaje huko alikoView attachment 922386
Shabash,Tai na harakati zakeView attachment 922390