eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Mungu sio pombe
Hatujambo mzeeHamjambo humu ndani
Ha ha ha karibu tena mzee wetuMiss u sana guys
Ha ha ha sijui oili chafu na nini na nini.Mambo ya konk konk konk master
Because you have to listen to your inner voice and make decision on how you want to live your life, don' t depend on other people opinions cz it is your life.Why?I thought I was doing the right thing...
[emoji15][emoji15][emoji15]mkuu soma ulichoandikaThe limit of x as it turns to blablablabla
" Can we see that ??? "
Now the graphical representation will be a paraboblablablablabla.... "
Can we see that ? "
The consine of the angleblablablablab
" Can we see that ? "
"Can we see that?? "
nieh nieh nieh nieh!!
HATUPOIHatari sana
Mabingwa wa mziki mzuri Afrika
Ok, i get your point though advices/opinions from others during decision making might be of great importance!Because you have to listen to your inner voice and make decision on how you want to live your life, don' t depend on other people opinions cz it is your life.
AiseeKauli ya JPM ndani ya mkutano Simba
Kauli ya Rais John Pombe Magufuli imekolezwa kwenye mkutano mkuu na Uchaguzi mkuu huo wa Simba uliofanyika jana.
Katika hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa klabu hiyo, Manara alisema klabu imeagizwa na rais kutwaa ubingwa wa Afrika hivyo kazi ndiyo inaanza.
"Ni klabu moja tu pekee ambayo imeagizwa na rais kuleta ubingwa nayo ni Simba, hivyo kazi ndiyo inaanzia hapa," alisema Manara huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama.
[emoji23][emoji23][emoji23]