Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Kwenye comment yangu hapo juu isomeke mpenda ligi....

Wa zamani ulikuwa hujamwelewa vizuri. Ilikuwa ukimchokoza kidogo tu unakula za uso.
 
Fentanyl ni kiboko. Inamaliza watu balaa....Moyo unashindwa kwenda sawa na excitement unayoipata inabidi tu uzime...Imepigwa marufuku ila watu wanaagiza kutoka China na ni bei rahisi kuliko Cocaine na Heroin
Duh,,watu wamepata mbadala nyingine,,Mac kaenda akiwa bado kijana mdogo sana,,26 yrs tena ni jamaa aliyekuwa na kipaji kweli kweli..
Mayb jamaa alikuwa overstress
 
Yeuwii
Mwenye Enzi Mungu atuepushe sisi na vizazi vyetu walahi
Ni crisis kubwa sana. Japo ni dawa iliyotengenezwa kihalali kwa ajili ya kupunguza maumivu hasa kwa wagonjwa wa saratani, watafuta pesa wanaichanganya na Heroin. Pia haipaswi kabisa kuchanganywa na pombe ya aina yo yote. Watu wanaondoka sana. Tuombe hii trend isifike nyumbani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mnyiramba..

Haina shida bro
Kale kabinti hakafai hata kdogo,,kanasema kana mchumba huko
Unakakandia? Kakija utakoga mfyuuu za kutosha na matarumbeta juu akina Mwajuma wakisasambua. Itabidi uhame mtaa [emoji16][emoji16][emoji16]

Mchumba huko kamtoe wapi kale? Kanaweza kulima? Kupika tu ugali wa kula wanaume wawili wakashiba hakawezi sembuse kushinda kwenye majaruba ya mpunga? Maneno mengi tu hakuna kitu pale [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…