Paa
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 1,462
- 2,940
Ukiacha siku moja huwezi kufa.
Ukiacha siku moja huwezi kufa.
Duh !!!Mmoja tunae hapa!
Kamanda Nyalandu. Kazi kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuacha kufanyaje.?Ukiacha siku moja huwezi kufa.
It is simple. Have serious dough; and know how to use it...nyingine zote mbwembwe tu [emoji16][emoji16][emoji16]How to Get the Attractive Women to Notice You
If you find yourself in a social setting with lots of women about, the best way to get off your butt and start having fun is to start from the bottom. By this, I of course mean finding the most unattractive woman in the scene and having fun with her before you go for the bigger bait.
Kwa matumizi ya baadaye. Vielelezo muhimu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani umezisave hizi jumbe kabisa bro.
OK. Nilifikiri Kambarage...
Kijana wa Msoga kwa kweli hakuwa na shida na mtu. Mpaka watu fulani wakampachika udhaifu....
Cheki hiyo picha uliyotumaKuacha kufanyaje.?
Hata nikiitizama tena bado nitakuuliza swali hilohilo.Cheki hiyo picha uliyotuma
Kwenda huko. Hukawii kunigeuka hapa. Eti hakuna Msukuma mjanja [emoji36][emoji36][emoji36]Mwangaluka bro[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ulikuwa unapambana na msambwanda remix kama ule ulionisakizia mie?Jana niliangusha gari mapema sana
Jifunze kuadapt kamanda....Kwelii,
Kati ya watu walonufaika kwa wakati wake mimi mmoj wao!
Huyu mwingine utadhani katumwa na malaika wa chini! Kurudishana nyuma tuu.
Kwa sisi wengine roho zetu kwatuuuu...Siyo kweli kamanda. Na wengine bila mabonge haya hatuwezi kuishi. Uzembe hoyeee !!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Me too. My dear bintiiiiI miss jakitoo
Kabisaa. Eti manyama uzembe. Manyama uzembe mai futi. Lijimsambwanda likimeng'enyuliwa hapo laivu mweh halafu mtu anatoka huko atokako kala makande yake mabichi eti manyama uzembe. Shwaiiiniii !!!Kwa sisi wengine roho zetu kwatuuuu...
Mungu aendelee kuwanenepesha wadada wazuri woteView attachment 923334
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisaa. Eti manyama uzembe. Manyama uzembe mai futi. Lijimsambwanda likimeng'enyuliwa hapo laivu mweh halafu mtu anatoka huko atokako kala makande yake mabichi eti manyama uzembe. Shwaiiiniii !!!
View attachment 923338