Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chelsea wako mbioni dhidi ya muda ikiwa wangetaka kumsaini kiungo wa kati Mreno Joao Felix, 18, baada ya Benfica kumpa mkataba mpya wenye kipenge cha kuondoka kwake cha kuvunja mkataba cha pauni 105. (Mirror)
 
Thorgan Hazard, ndugu wa kiungo wa kati wa Chelsea na Ubelgiji Eden Hazard anasema mchezaji huyo wa miaka 27 hawezi kuondoka Stamford Bridge kwenda Real Madrid mwezi Januari. (HLN, via Express)
 
Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester City na Manchester United huenda wakachukuliwa hatua za kisheria kutoka kwa vilabu vilivyosalia vya Ligi ya Premier ikiwa watajiunga na Ligi iliyopendekezwa ya European superleague mwaka 2021. (iNews)
 
Mji kasoro Bahari....
FB_IMG_1541466890999.jpg
 
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp anafikiria kumuacha nje Wing'a raia wa Uswizi Xherdan Shaqiri, 27, wakati wa mechi kati ya Liverpool na Red Star Belgrade wiki hii. Shaqiri amekuwa akikemewa na mashabiki wa Serbia kutokana na asilia yake ya Kosovo. (Telegraph)
 
Mlinzi wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand anasema mshambuliajia wa sasa wa Macnhester United Rashfold, 21, anahitaji kuwa katika kikosi cha kwanza cha mechi ikiwa angetaka kutumia uwezo wake huko Old Trafford. (BT Sport, via Manchester Evening News)
 
Mshambuliaji wa Juventus na Ureno Cristiano Ronaldo, 33, anasema amekosa sana kucheza na aliyekuwa mchezaji mwenzake huko Manchester United Wayne Rooney, 33, ambaye kwa sasa anaichezea DC United. (Express)
 
Back
Top Bottom