carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Mh!Mnyaturu?
Nataka kujua tu bro...
Ili nikulinganishe na Wasuku nione kama umepwaya au umetimia - kama kale kapiga mbiu kenzako Kazaramo
Mh!Mnyaturu?
Nataka kujua tu bro...
Ili nikulinganishe na Wasuku nione kama umepwaya au umetimia - kama kale kapiga mbiu kenzako Kazaramo
Waaaah!!!yaani ninge mimi sifai?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnyiramba..
Haina shida bro
Kale kabinti hakafai hata kdogo,,kanasema kana mchumba huko
EeehUnakakandia? Kakija utakoga mfyuuu za kutosha na matarumbeta juu akina Mwajuma wakisasambua. Itabidi uhame mtaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchumba huko kamtoe wapi kale? Kanaweza kulima? Kupika tu ugali wa kula wanaume wawili wakashiba hakawezi sembuse kushinda kwenye majaruba ya mpunga? Maneno mengi tu hakuna kitu pale [emoji23][emoji23][emoji23]