mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari yako
IG kumenoga naona unakula ubuyuMeneja wa zamani wa Crystal Palace na Everton Sam Allardyce anasena wajukuu wake walidhulumiwa wakati akifutwa kama meneja wa England mwaka 2016. (Talksport)
Hii hatari sana Konki master aendeleze listi yake hakuna namnaTanzania [emoji1241] tunaelekea wapi ? . Inasemekana huyu Baba ni Mbongo anae ishi Mbezi, Siku ya jana kafunga ndoa ...na sasa ni mke halali wa huyo mzungu..Ndoa Imefungwa Nje ya Nchi |View attachment 923452
Hujambo my dear
Mkuu mambo niajePrize
Safi mkuu tunashukuru Mwenye Enzi kuwa wazimaPoa Bro,
Mambo vp.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakachelewi kupoa? You gonna learn the hard way...Just wait...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mzima pia.Mie mzima,sijui wewe
hahahahahah,Kundi la wastaarabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gr8 my dearHujambo my dear
Asante ndugu yangu. Wananiudhigi sana hawa watu wa fitness...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu habari ya majukumu? Uwe na siku njema
Huku salama bro. Huko kwema? Basi Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah broo nimecheka sana
Habari yakwako lakini?