Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

94E6BC33-B4BB-4A14-9F07-1E7A93673AEF.jpeg
 
Maisha ya kuadopt ni changamoto,

Tanzania tunahitaji stable system hatutaki system inayomtegemea mwanasiasa kwa stability ya uchumi wa raia.

Yaani akiingia fulani pesa ipo akitoka pesa hakuna!! Taifa la aina gani.?
Mada ya kiuchumi hii. Sitaigusa...ila ukweli ni kwamba kila mwanasiasa anayekuja madarakani anakuja na ndoto na sera zake; na athari za siasa hizi bila shaka zitatofautiana. Na huu ni ukweli duniani kote. Trump huku anaharibu kila kitu ambacho Obama alifanya bila kujali kama kilikuwa chema ama la!

Wanasaikolojia wanasema kwamba jambo hili haliepukiki kwa sababu wanasiasa hawa waliofanikiwa kufikia kilele cha mafanikio yao wana ego kubwa na wamefikia kiwango cha juu sana katika hatua za kimahitaji za Maslow. Hawa ni watu wanaotafuta legacy na kila mmoja anadhani kuwa anachokifanya ndicho hasa kitakachomtambulisha hata baada ya kukamilisha safari yake. Ukiwatazama kwa jicho hili utaanza kuwaelewa vizuri hawa watu. Na hapo bado hujachanganya na ishu za maslahi binafsi kama ufisadi, nepotism na mikatale mingine ya kitamaduni, kijamii na mingineyo.
 
Ni kweli bro,

Ila kwa mtazamo wangu hapa bongo ni tofauti kidogo.Mabadiliko makubwa ya kiuchumi/kisera bila ya chama kubadilika sio kawaida.Marekani na kwingine mabadiliko ya namna hii yanaonekana pale vyama vyenye mirengo tofauti vinavyochukua nchi mf: mrengo wa kushoto na wa kulia ambao hata sera zao zinakinzana kwenye mambo mengi sana.
 
Tanzania [emoji1241] tunaelekea wapi ? . Inasemekana huyu Baba ni Mbongo anae ishi Mbezi, Siku ya jana kafunga ndoa ...na sasa ni mke halali wa huyo mzungu..Ndoa Imefungwa Nje ya Nchi |View attachment 923452
Konki Master haichagui cha Mbongo wala nini...Na haya mambo yanavyokuja kwa kasi na kulazimishwa na wakubwa nadhani ni suala la muda tu.
 
Facebook imezifungia akaunti 30 kwenye mtandao wake na kuzifungia akaunti 85 ktk mtandao wa Instagram baada ya akaunti hizo kuhusishwa kutaka kuingilia uchaguzi wa Marekani wa katikati ya muhula kwa kusambaza taarifa za uwongo.
Leo ni uchaguzi. Matumbo moto. Siasa za majitaka balaa mpaka unashangaa kama kweli hawa ndiyo wanaovamia nchi mpaka kuua ikibidi ili kueneza demokrasia...
 
Back
Top Bottom