Mkuu salama nipo namshukuru Mungu.
Za kupoteana aisee ?
kikuku kikoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha muhimu ni uzima. Tuko pamoja kiongozi...Mungu ni mwema naendelea vizuri kabisa. Nipo ndugu yangu, ni pilika pilika za hapa na pale zinatufanya tupishane
Angalia reflection kwenye tv, ni hostel au?
Shukrani mkuuHeshima yako kiongozii wangu. Mimi mzima kabisaaaa