Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1541224907040.jpg
 
Shukrani mkuu...

Mchanganuo wako upo sawa ila watu wengi wakiongeleaga hii kitu hua hawamtaji SaigoN sijui alikua anajiweka nyuma sana ama vipi?

Mabraza wengi walioanza hizi shughuli walikimbilia nje ya nchi kwasababu za kimaisha pia wengi wao walikua watoto wa kishua...

Pia hii miziki ya kubana pua nahisi Dully ndio alianzisha nyuma sana kabla ya kina Mb hawajakuja...View attachment 924077
Uimbaji wa Dully ni tofauti na akina Z anto,mad Ice, Mb dog, Alikiba,...SaigoN hata mimi sijui kwanini ana sahaulika. Siyo tu yeye, hata akina Jeremiah wa WWA hawakumbukwi kwenye muziki mgumu.

Kuna uzembe mahali, wasanii hawana kawaida kuwashukuru walio wavutia kuipenda sanaa
 
Back
Top Bottom