Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana.

Sema bado nawaza zile sikirinishoti kwanini huwa anaziweka na kwa harakaharaka ni kama zilimkwaza,sina uhakika lakini.
af4579ae-698a-4f8d-b618-2cf267671703.gif
 
Kati ya watu ambao natamani kufahamiananao ata nje ya hii nyumba wewe pia ni mmoja wapo
Karibu sana...
Hiyo miziki tumeanza nayo, walianza kwa instrument za nje wenyewe wakawa wanarap kwa Kiswahili (Jabir ni mmoja wapo) baadaye ndo kizazi hicho cha akina Sugu, Diplomatz,WWA na wengine... Baada ya muda tena kikaja kizazi cha akina Pro. J, Ins Harun, Kiroboto na wenzao kabla Mb dog hajauharibu muziki. Mb dog ndio chanzo cha kuimba kwa kubana pua... Ila sikumbuki vizuri umri umeenda.
 
Bro hakwazikagi na rolo modo huwa sijali mtu kakwazika au hajakwazika maisha mafupi haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari hii utakuja Gold Crest? Ai promisi ukija sitakukwaza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Urolo modo ulishaupoteza zamani. Labda urudi ulivyokuwa. Mtu mpole hivi una urolo modo gani?
 
View attachment 924048
View attachment 924049

Nitaanza kuwaiginoa kuanzia leo usiku. Hata waposti nini. Ulihusika kuvunja ile ndoa ya kenyewe na bro 100%. May be kako frasterededi. Unastahili lawama pia [emoji16][emoji16][emoji16] [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye ile ndoa mkataba wetu haukuwa wa siri.
Ukiwatupia vijana wako kwenye kapu jeusi watapata taabu sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye ile ndoa mkataba wetu haukuwa wa siri.
Ukiwatupia vijana wako kwenye kapu jeusi watapata taabu sana
Hilo kapu silipendi na sitawatupa huko. Nitaacha tu kuwarespondia vitu vyao vile. May be watapunguza [emoji16][emoji16][emoji16]

Ndoa ile uliivunja na dhambi ile itaendelea kukutafuna. Kila parabo anayorusha bro kutokana na mateso anayozidi kupitia nati za Karma zinazidi kukazika kukuelekea [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom