Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mfano mimi nyumbani tuna tatizo la uhaba wa chakula baada ya mamlaka kufunga shughuli za uvuvi katika ziwa Kivu,bwana hana kazi kwa sasa, lakini pamoja na hayo nitajitahidi kumliwaza. Lazima nimbebe mgongoni, siwezi kwenda kinyume na utamaduni huo ili na yeye asisite kutoa mahari kwetu mara kadhaa," alisema mmoja wao.
Mahari anayozungumzia yanatolewa na mwanaume hata baada ya ndoa kama ishara ya kuridhika na ndoa yake.
Mahari anayozungumzia yanatolewa na mwanaume hata baada ya ndoa kama ishara ya kuridhika na ndoa yake.