Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]lini hiyo? Sijayaona kabisa.

Nanyi mmezidi kumuandama... Hapumui....

Kwani mkiposti mavitu ya hivi bila kapusheni atashtukaje?

Mimi mwenyewe naumia sana mnavyouandama upande wa kule....

Kuna kasikirinishoti huwa anakatupiaga...... msukuma na ng'ombe ni mapembe..... Jana usiku nilimuonyesha Wife... Weeeee nimechambwa,wanyakyusa wa Ileje nao kawachamba, wa Tukuyu hawakupona,wale wa Kyela ndo kabisaaa... Usingizi ukakata.
Ile nije kuzuga huku nikakutana na nyie wajinga wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 923923View attachment 923924
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bro hakwazikagi na rolo modo huwa sijali mtu kakwazika au hajakwazika maisha mafupi haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanzo ilikuwa kidogo tu karipuka,lakini sasa anajiendea tu kwa raha zake.
Wewe mwenyewe sasa hivi umekuwa kapoleeee... Yaani ni kucheka cheka tuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], acha nikae nalo..
Sijui atakuwa kabila gani shwaini huyu???
f03ce021babd4c7d8c026dc451961522.jpeg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanzo ilikuwa kidogo tu karipuka,lakini sasa anajiendea tu kwa raha zake.
Wewe mwenyewe sasa hivi umekuwa kapoleeee... Yaani ni kucheka cheka tuu
Kicheko ni afya. Enzi zile kulikua na machizi wengi saiv wamepungua hivyo version ya kipole imetawala mpaka raha
 
Back
Top Bottom