Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bora usiwe na pesa mfukoni lakini uisho kwa upendo

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=x3v1m089w93t.jpg
 
carbamazepine

Hapana chezea Konki triple master... Kibibi Aga kapiga mkwara mbuzi kakutana na chuma cha mkolono kimesimaaa sawa sawa...kabakia kujizubaisha.. ooo nilikuwa natania.. ooo mimi huwa siombi ruhusu narusha bom tu hahhahha kwendraaaa in Joti' s voice.. hakuna anaekuogopa Mama weee kama mpka Wema wangu alikutukana utamumeza triple Konki master..😂😂😂
 
carbamazepine

Hapana chezea Konki triple master... Kibibi Aga kapiga mkwara mbuzi kakutana na chuma cha mkolono kimesimaaa sawa sawa...kabakia kujizubaisha.. ooo nilikuwa natania.. ooo mimi huwa siombi ruhusu narusha bom tu hahhahha kwendraaaa in Joti' s voice.. hakuna anaekuogopa Mama weee kama mpka Wema wangu alikutukana utamumeza triple Konki master..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo mpambano kati ya Konkii master na Mange mshindi ni Mr.Kinkii cyo basi vizuri leo mbea kaumbuka
Mange harudii tena,yeye kajifanya chizi kakutana na mwendawazimu[emoji23]
 
*Mwili wa Binadamu unaweza kuhimili maumivu ya 45 del (unit) za maumivu. Lakini wakati wa kuzaa mwanamke hufikia hadi 57 del za maumivu kiwango hicho cha Maumivu ni sawa kabisa na mivunjiko 20 ya mifupa katika mwili kwa Muda mmoja.*

_*Lakini Mwanamme akipigwa kwenye KORODANI hupata maumivu zaidi ya 9000 del ambayo ni sawa na maumivu ya Kuzaa watoto 160 ambayo ni sawa na kuvunjika Mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.*_

*Nani anasema Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa!! Sisi uchungu tunao sema tu hatupendi kujisifia ujinga.*
 
Barcelona XI: L. Suárez, Piqué, I. Rakitić, Jordi Alba, Sergio Busquets, Philippe Coutinho, M. ter Stegen, S.Roberto, Lenglet, Arthur, O. Dembélé

Subs: Vidal, Jasper Cillessen, Rafinha, Semedo, Carles Aleñà, Malcom, Chumi Brandariz
 
Back
Top Bottom