Itabidi niitishe kamati tufanye kikao cha usuluhishi. Mungu mkubwa binti ameamua kufuatilia ipielo, ni dhahiri wakipatana watakuwa ni "ndege wafananao huangalia mpira pamoja "Hilo kapu silipendi na sitawatupa huko. Nitaacha tu kuwarespondia vitu vyao vile. May be watapunguza [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndoa ile uliivunja na dhambi ile itaendelea kukutafuna. Kila parabo anayorusha bro kutokana na mateso anayozidi kupitia nati za Karma zinazidi kukazika kukuelekea [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira ni shwaini kabisa... Unakuharibia siku hivi hiviWamezingua
Shukrani mkuu...Karibu sana...
Hiyo miziki tumeanza nayo, walianza kwa instrument za nje wenyewe wakawa wanarap kwa Kiswahili (Jabir ni mmoja wapo) baadaye ndo kizazi hicho cha akina Sugu, Diplomatz,WWA na wengine... Baada ya muda tena kikaja kizazi cha akina Pro. J, Ins Harun, Kiroboto na wenzao kabla Mb dog hajauharibu muziki. Mb dog ndio chanzo cha kuimba kwa kubana pua... Ila sikumbuki vizuri umri umeenda.
Vipi tena Davido na Zodwa Wabantu ?
Fanya hivyo aisee. Itasaidia sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamaniItabidi niitishe kamati tufanye kikao cha usuluhishi. Mungu mkubwa binti ameamua kufuatilia ipielo, ni dhahiri wakipatana watakuwa ni "ndege wafananao huangalia mpira pamoja "