myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Konki konki masterMambo niii motooo
Kama ndivyo hivyo basi atapata tabu sana maana plan B ni muhimu sana pale unapotaka kufanya move yeyote ile...Tatizo la jurgen ni moja tu na sii mengi ni kwamba hana kitu kinaitwa Plan B once and for All. Na ndio ambacho kitamtafuna pole pole sana na asiposhtuka Ubingwa ata uona ukiwa Extra Miles
I see youI've been restored
Alafu jamaa anaongea kiswahili mwanzo mwisho tena kizuri. Unaeza sema kuna ubao mbele yake anausoma? [emoji4][emoji4]Alafu jamaa ata kiswahili anasound kama wazungu
[emoji4][emoji4][emoji4]hapana sii hivyo aiseeKonki konki master
Karibu tena ndugu.Uvumilivu ukizidi sana uwa mateso nimewamiis
jaman wapendwa
[emoji818][emoji818][emoji818]Kama ndivyo hivyo basi atapata tabu sana maana plan B ni muhimu sana pale unapotaka kufanya move yeyote ile...
Hii nadhani sii taarifa mbaya sana kwa mashabiki wa Man u sababu Mourinho sahivi haonyeshi kama anamuhitaji sana katika first Xi yake.Mshambuliaji wa manchester united Romelu
lukaku ataukosa mchezo wake wa leo dhidi ya
juventus baada ya kupata majeraha akiwa
mazoezini pia akizungumza meneja wa klabu
hiyo amesema pia anaweza kuukosa mchezo
wa jumapili dhidi ya manchester city..
Ulienda wapi? Kutag andika @ kisha weka jina la mhusika bila kuruka nafasiAndika chochote upate like
Lovely mum am back
Nishasahau ku tag kichwa kichafu na numbisa naomba muje mnikumbushe
πππhaya bhana[emoji4][emoji4][emoji4]hapana sii hivyo aisee
[emoji4][emoji4][emoji4]niko nduguI see you
Wengi wameshaanza kumchoka lukakuHii nadhani sii taarifa mbaya sana kwa mashabiki wa Man u sababu Mourinho sahivi haonyeshi kama anamuhitaji sana katika first Xi yake.