Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji16][emoji16] nimeshangaa sana jana wanavyolalamika yani utafikiri sio wale wanaofurahia timu na kocha wao kila siku...Mashabiki wa liver sio wavumilivu wakiongozwa na mzee wa liver,mechi moja tu tayar washadondosha lawama kwa kocha