Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Monaco wanatia huruma,,juzi juzi tu hapa walikuwa mabigwa wa ufaransa,,wakafika nusu kwenye champions ligi,,leo wapo mkiani kwenye kila sehemu ligi ya kwao hadi hukuMaisha yanenda kasi sana
Wana hali mbaya sana mzee sijui shida ni nini na wanao wachezaji wazuri tu, wamechana sana majamvi yangu hawa maboya
 
1541572556564.png
 
Wana hali mbaya sana mzee sijui shida ni nini na wanao wachezaji wazuri tu, wamechana sana majamvi yangu hawa maboya
Tatzo ni kuwa,,baada ya kupata yale mafanikio,,wachezaj wao wale wote waliotamba vilabu mbalimbali ulaya vikawasajiri..watu kama benardo silva,killian mbape,mendy,bakayoko,thomas lemar,kuna jamaa mwingine yupo liverpool pia alitoka monaco,,,
Automatic kuondoka kwa nyota wale hlf hakuna replacement yoyote,kwan baada ya kuuza hawakusajr,,wakatoa wachezaj wengine timu B then wakawapandsha timu ya wakubwa,matatzo hapo ndipo yalipoanza hadi wametimua kocha wao..
 
Duh kweli bro nilisahau hao mafundi ata kama walitoka Monaco na niwengi kweli hapo lazima mtikisiko utokee yani timu ilikua vizuri na ndio ilikua timu ya Kumchallenge PSG ila wamefanya uzembe sana kutofanya replacement ya majembe walioyatoa...

Henry nae sasa kachukua timu mbovu itamuumiza kichwa tu
 
Back
Top Bottom