Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Zamani tulizoea kuwatumia viungo wetu kama ngao. Hicho ndicho ambacho Torreira anafanya. Anaweza kuwa gundi ya timu hii ya Arsenal” alisema Keown ambaye alimfananisha staa huyo na viungo wao wa zamani wa ulinzi akina Patrick Vieira na Gilberto Silva.