Rolling Paper,,,album bora kabsa ya Khalifa
Ushawah kujiuliza bajeti anayotumia kununua jani,,anaspend pesa kiasi ??
Nilikuwa nayo,niliangalia s1 yote nikamaliza s2 ikaanza kukosa mvuto kwangu so sijaiendeleza tenaUnaipata hiiView attachment 923651
Waleykum salaam,habari yako[emoji23][emoji23][emoji23]
A'alyekum carba
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mikoani bhana..
Cheki na huyu
Mange akiamsha majeshi nambie maa[emoji23][emoji23][emoji23]Konkiii konki mambaaa keshasema SUUUUUUUU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama kabsa,,nashukuru MunguHuna mana wewe,mfyuuu zako[emoji23][emoji23]Waleykum salaam,habari yako
.....,Jisikie huru bro...
Wasuku hata mi nakubali ni shida kwa kweli. Matani haya hayajaanza leo na wala hayataisha kesho. Zamani utani huu ulikuwa wa muhimu sana katika kujenga mshikamano kati ya makabila husika. Makabila yenye utani yalishirikiana vyema na kamwe hayakuweza kupigana. Japo leo mambo yamebadilika lakini dhana ya utani huu nadhani bado ina mantiki ile ile...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kama uliwahi kusoma Rosa Mistika, Mzee Zakaria (Babake na Rosa Mistika) aliuawa kwa kuchomwa mkuki kifuani baada ya kuzidisha matani kwenye msiba. Hebu Kazaramo na kasome angalizo hili na kulielewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona madongo aliyonipiga ndugu yako lakini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo uende ukaonyeshe uwezo wako sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cheki na huyu
Kwenye lile sanamu linalotoa majiView attachment 923888
Me buheri wa afyaa
Unajifanya kusahau eeh??[emoji23][emoji23][emoji23]nimefanya nn tena carbaSalama kabsa,,nashukuru Mungu
Pole na majukumu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki mie,umeniponza mara 2 wewe