Eti kuambarutiwa...
😀😀😀😀Muda wake wa kuanzisha mavurugu bado bro,,,wewe subr utakaona tu[emoji23][emoji23]
Habari yako nduguNi mzima pia.
Kwema kabisa bro. Habari za hapo usukumani?Huku salama bro. Huko kwema? Basi Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji818]Yatakuwa hukohuko tu sio kwa mama Tanzania walahi
Usukumani huku salama kabisa...Kwema kabisa bro. Habari za hapo usukumani?
France haya mambo ni ruksa ila tuu msiuziane(Msipeane hela).Sweeden Ni Ruksa kwa Mwanamke Kujiuza Mwili Wake (malaya).
Lakini Ni Kosa Kubwa Kisheria Kuwa Mteja Wa Mwanamke Anaejiuza (Malaya) Sweeden.
Hapa Mwenye Kuelewa Na Elewe.
Machaparanga