Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jisikie huru bro...

Wasuku hata mi nakubali ni shida kwa kweli. Matani haya hayajaanza leo na wala hayataisha kesho. Zamani utani huu ulikuwa wa muhimu sana katika kujenga mshikamano kati ya makabila husika. Makabila yenye utani yalishirikiana vyema na kamwe hayakuweza kupigana. Japo leo mambo yamebadilika lakini dhana ya utani huu nadhani bado ina mantiki ile ile...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kama uliwahi kusoma Rosa Mistika, Mzee Zakaria (Babake na Rosa Mistika) aliuawa kwa kuchomwa mkuki kifuani baada ya kuzidisha matani kwenye msiba. Hebu Kazaramo na kasome angalizo hili na kulielewa [emoji23][emoji23][emoji23]
Utani ulikuwepo, upo utaendelea kuwepo ingawa ukizidishwa sana huzalisha uhasama
 
FB_IMG_1541506032194.jpg
 
Back
Top Bottom