Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakakandia? Kakija utakoga mfyuuu za kutosha na matarumbeta juu akina Mwajuma wakisasambua. Itabidi uhame mtaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchumba huko kamtoe wapi kale? Kanaweza kulima? Kupika tu ugali wa kula wanaume wawili wakashiba hakawezi sembuse kushinda kwenye majaruba ya mpunga? Maneno mengi tu hakuna kitu pale [emoji23][emoji23][emoji23]