Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Daah hakuna kitu nachukia kama uchaguzi daahLeo ni uchaguzi. Matumbo moto. Siasa za majitaka balaa mpaka unashangaa kama kweli hawa ndiyo wanaovamia nchi mpaka kuua ikibidi ili kueneza demokrasia...