Kabisa wamemchokaWengi wameshaanza kumchoka lukaku
Kwel kabsa lukaku amekuwa zigo sana pale man u ila akiwa timu ya taifa huwa ni motooHii nadhani sii taarifa mbaya sana kwa mashabiki wa Man u sababu Mourinho sahivi haonyeshi kama anamuhitaji sana katika first Xi yake.
Ulienda wapi? Kutag andika @ kisha weka jina la mhusika bila kuruka nafasi
[emoji818][emoji818][emoji818]Kwel kabsa lukaku amekuwa zigo sana pale man u ila akiwa timu ya taifa huwa ni motoo
[emoji4][emoji4][emoji4]hii ndo maana halisi ya neno TABUTABU NI NINI ?
Tabu ni pale baba yako anafanyakazi ya
bodaboda halafu wewe unagoma kwenda
shule eti unaumwa halafu
unampigia demu wako aje home, demu
anaamua kuchukua bodaboda analetwa na
baba yako...
wanafika mpaka home kademu kanakupigia
simu kanakwambia njoo ulipe nauli ya
bodaboda, nipo hapa nyumbani kwenu nje.
Unatoka unakuta mara paap... ni mzee
ndio kamleta.
Hapo ndio utakapojua kwa nini wimbo wa taifa
hauna video
[emoji16][emoji16] anaongea sana akiulzwa swali moja maelezo marefu sanaAlafu jamaa anaongea kiswahili mwanzo mwisho tena kizuri. Unaeza sema kuna ubao mbele yake anausoma? [emoji4][emoji4]
Tupo pamoja mkuu[emoji4][emoji4][emoji4]niko ndugu