Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Sana bro,,,elimu ni ya muhimu sana.Hatari sana bro umeona jinsi majamaa wa kitambo walivyokua wa kishua na kitabu kilizingatiwa sasa hivi wanarun maprojecj heavy huko majuu....
Sana bro,,,elimu ni ya muhimu sana.Hatari sana bro umeona jinsi majamaa wa kitambo walivyokua wa kishua na kitabu kilizingatiwa sasa hivi wanarun maprojecj heavy huko majuu....
Jamaa pia kazungumza kiswahl mwanzo mwsho,,hajaweka ung'eng'e wowote ule ili hali anaishi states,,kuna wabongo wengne hapo ngeli zngekuwa nyng sana.Alafu jamaa ata kiswahili anasound kama wazungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]TABU NI NINI ?
Tabu ni pale baba yako anafanyakazi ya
bodaboda halafu wewe unagoma kwenda
shule eti unaumwa halafu
unampigia demu wako aje home, demu
anaamua kuchukua bodaboda analetwa na
baba yako...
wanafika mpaka home kademu kanakupigia
simu kanakwambia njoo ulipe nauli ya
bodaboda, nipo hapa nyumbani kwenu nje.
Unatoka unakuta mara paap... ni mzee
ndio kamleta.
Hapo ndio utakapojua kwa nini wimbo wa taifa
hauna video
Ujumbe Safi sana huu
Hakika [emoji16]siku imeshika kasi
Umenishtua kitu ambacho sikuwaza kabla [emoji23][emoji23] jamaa kweli kiswazi mwamwi na states ndio maskani miaka yote. DaahJamaa pia kazungumza kiswahl mwanzo mwsho,,hajaweka ung'eng'e wowote ule ili hali anaishi states,,kuna wabongo wengne hapo ngeli zngekuwa nyng sana.
Msomi ni msomi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]pia yupo simple sana,,,waswahl tuko na shda sehem.Umenishtua kitu ambacho sikuwaza kabla [emoji23][emoji23] jamaa kweli kiswazi mwamwi na states ndio maskani miaka yote. Daah
Mbongo halisi ata ukikosea kuongea kiinglish kidogo tu inakua gumzo wakati lugha ya watu na wanaojua ndio wala hawana habari...Jamaa pia kazungumza kiswahl mwanzo mwsho,,hajaweka ung'eng'e wowote ule ili hali anaishi states,,kuna wabongo wengne hapo ngeli zngekuwa nyng sana.
Msomi ni msomi tu.
[emoji23][emoji23] waswahili tunaumizana wenyewe kwa wenyewe bro ndio mana tunapenda mambo makubwa ambayo sio size yetu[emoji23][emoji23][emoji23]pia yupo simple sana,,,waswahl tuko na shda sehem.