Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nice bro,,,jamaa anajua sana pia huyu jamaa anahusika sana na ile app ya afripods,,ukiwa unaanza kusikiliza hyo interview na balozi,,utasikia anasema karbu kwenye chill na sky,,hyo chill na sky ndio kipnd anachofanya huko afripods.
Hiyo Afripods bado sijaifanyia kazi bro nilisahau kabisa ngoja nifanye michakato...

Jamaa mjanja mjanja sana ata alikua na YouTube channel yake alikua anachambua mambo mbali mbali ya music, hiyo channel ilikua inapata views wengi sana nahisi ndio ata sababu ya Dissim online kumteka....
 
Exactly bro,itafute aisee.
 
Back
Top Bottom