Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]TMO ndio nn mzee??
Yah ndio yeye aisee kila kitu anafanya sasa hivi ni kwaajiri ya dini. Ata kuna ki-clip chake flani mwezi wa Ramadhan kilitamba sana anahimiza watu kufunga...Ndo yuko tv iman anatangaza?
Kuna kipindi nilikuwa namuona tv iman sasa nikahisi namfananisha
Namshukuru Mungu nipo vizuri kabisa. Upo Tanga?Kwema Kaka, vipi wewe
Dah,,kesi hyo broHakika bro..
Nipe mfano wa fake MC
Yaah! Sukali ya warembo enzi hizo flo zake zilikua na swagger hatari [emoji16]Inspector harun mzee wa rap katun
Ah kumbe inamaanisha hvyo,,sikuwa najua mkuu,,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naomba moudgulf, Yegomasika, uniq, Shimba, mzee wa liver wakupe utamu wa TMO (Telegramu mane oda) kwa mwanafunzi wa boarding
[emoji23][emoji23][emoji23] na kwataarifa yako sijatia maneno mengi kwasababu yako niliogopa ukionaKoh koh koh[emoji23][emoji23]
Aah bro unaniletidauni wewe hip hop kabisa unayumba kutaja mtu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah,,kesi hyo bro
Hela tulikuwa tunachukulia posta, ndo kipindi ukienda kupiga simu ya mezani opareta anauliza "unalipa wewe au atalipa unae mpigia? " Jibu lilikuwa rahisi tu "atalipa ninae mpigia "Ah kumbe inamaanisha hvyo,,sikuwa najua mkuu,,,
Mwanadada hataki kabisa baadhi ya milango yake kuingiliwa mpaka kaua mtu. Duh