Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10e0e2bd-0a4d-44c2-8690-8f695e5933b7.jpeg
 
TUOMBE

Mungu wetu tunalitukuza Jina lako. Ahsante kwa ajili ya Alhamisi hii njema ya leo tarehe 8/11/2018. Fungua mlango wako wa Rehema tupate tengwa na mlango wa mauti. Kila mgonjwa, kila mwenye kukata tamaa, kila mwovu, kila mwenye udhaifu mahali, apokee urejesho katika Jina la Yesu. Tunakemea maovu na maharibifu yote kwa Damu ya Yesu. Mungu kumbuka Taifa letu na
wote tuishio ndani yake. Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.

Mwana wa Adamu anawatakia Alhamisi njema[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
This is wonderful shimba walahi
I will say ‘with Almighty One speed walahi ‘
 
TUOMBE

Mungu wetu tunalitukuza Jina lako. Ahsante kwa ajili ya Alhamisi hii njema ya leo tarehe 8/11/2018. Fungua mlango wako wa Rehema tupate tengwa na mlango wa mauti. Kila mgonjwa, kila mwenye kukata tamaa, kila mwovu, kila mwenye udhaifu mahali, apokee urejesho katika Jina la Yesu. Tunakemea maovu na maharibifu yote kwa Damu ya Yesu. Mungu kumbuka Taifa letu na
wote tuishio ndani yake. Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.

Mwana wa Adamu anawatakia Alhamisi njema[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
[emoji120][emoji120]Barikiwa sana Bro
 
Back
Top Bottom