[emoji4][emoji4][emoji4]. I think ata Life expand Yao ni kubwa kulikoni huku kwetu( utandawazini) tuna kula vyakula ambavyo vingene havina majina.Hawajui lolote kuhusu uhuru utawala, demokrasia wala jf, wao ni nyama, asali na mawindo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwa nalo ilo kaka nakuhakikishia pesa zitacam zenyewe bila shida.We acha tu. Hata mishe za pesa zinajikoki tu bila shida [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu kwahiyo vip wenye tattoo km hii
[emoji16][emoji16][emoji16]Naona kakurupukia mambo.
Itakuwa Mapema sana kwa Africa kufanya comparison na nchi kama China.
Swafiiii sanaMkuu kwahiyo vip wenye tattoo km hii
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]bed time11:52pm mjue
Umeona ee, wengine wasije poteza kibarua chao kama waziri wa vyerehani[emoji2089][emoji2089][emoji2089]bed time
Ha ha ha sawa sawa mkuuUmeona ee, wengine wasije poteza kibarua chao kama waziri wa vyerehani