Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye haya mambo mkuu hakuna fomyula. Ni kila mtu na lwake. Kimodo mimi mjurubeng hausimami ng'o labda nikiwa na ukame wa levo ya jangwa la Sahara [emoji16][emoji16][emoji16]Mimi kwa vimodo utaniua mana nazunguka nacho nyumba nzima