Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

853436653_22526.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukatibu wa CHAWANITA sikuupata hivihivi bro. Kamcheki huko kwake. You can even slide in her DM ili kutesti zali bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuslide DM ya mtt kama huyo,,inahitaj moyo bro
DM yake inaweza kuwa full muda wote,,unawezajibiwa baada ya miez sita[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajafungasha sana ila urembo wake unamtoa nyoka pangon. waliofungasha sana mara nyingi wanapenda michezo ya Amber R..
Kwangu kama hajafungasha hata kama awe na sura kama ya malaika ni kazi bure. Na hiyo generalization ya uhusiano wa kufungasha na mambo ya Amber Rutty haina ukweli wo wote kwa sababu hakuna cause and effect...
 
Wilfried Zaha

Zaha (25), amewahi kuonja maisha ya kucheza klabu kubwa. Hata hivyo, alijiunga na Man United, lakini ugumu ukamkimbiza. Baada ya kuingia dimbani mara mbili chini ya David Moyes, alitafuta maisha kwingine. Alipotoka United, winga huyo mwenye kasi na uwezo mkubwa wa kufunga mabao, alizunguka katika klabu kadhaa kabla ya kutua Crystal Palace. Anafunga mabao kama hana akili timamu.
Kuna mwingine anaitwa Gabriel Omar Batistuta,alicheza Fiolentina mwanzo mwisho,,jamaa kwa heshima yake walibidi wajenge sanamu lake kwa kumbukumbu yake
 
Back
Top Bottom