Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Diego Maradona
Mmoja kati ya wachezaji bora wa muda wote duniani huku kiwango chake kikilinganishwa na mfalme wa soka duniani, Pele. Maradona akiwa katika ubora wake alipita Barcelona lakini baada ya hapo akaibukia Napoli ambapo aligeuka kuwa jeshi la mtu mmoja kutokana na uhodari wake ambao uliwapa Napoli ubingwa wa Italia. Kwa uhodari wake aliiwezesha Napoli kutamba Ulaya.