Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hujambo wewe?[emoji23][emoji23]
Acha tutafute pesa tu bro,hawa ndugu zetu huwa wanasema tu wapo tyl kwa hali zote lkn kiuhalisia sio kweli,,akitokea jamaa mwenye mawe fresh anasahau ahad zoteIla ile barau aliyoiandika mwanamke ina uhalisia kamchana jamaa kwamba hawezi kuvumilia maisha duni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sipati picha akija [emoji16][emoji16][emoji16]
Gold Crest naona ndiyo basi tena walahi
Poa Bro, nifikishie salamu kwa Shangazi.
Mmh,,na ww unagongewa carba??Mie sijui kama kunauma,maana sijawahi kugongewa.
Kwani ushawahi kugongewa ama kugongea bibi ya wenyewe??
SijamboHujambo wewe?
Yuko huku?
Bro huko kwako kukoje?
Kuna siku humu ulidokezea kuwa uko somewhere japo hukusema ni wapi. Ilikuwa asubuhi na Bongo ilikuwa bado usiku wa manane (India? Japan? S.Korea? - my guess)