Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
You never know
Ugumu kwa nje tu Mkuu kwa ndani kuna kaulaini flani hivi daah
Uzuri wa mtu upo machoni kwa mtu
Sana bro,jamaa walielezea maisha harisi ya watu wa chn jinsi wanavyoteswa kwenye mapenz,na ahadi znavyovunjwa
Aiseh!
Pole sana[emoji16][emoji16]
Sasa hv lazima atupie habari za korosho na faida zake,,,kisha ana malizia na kapicha ka mkungu wa ndizi umelala kwa jirani[emoji23][emoji23]Au mahabari mengine tu ya topiki mbalimbali mchanganyiko ili mchanganyikiwe. Mkija kushtuka wala hamkumbuki tena...Smart girl [emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifanya nikumbuke ile nyimbo jamaa aligongewa mkewe na boss wake mtoto katoka c&p ya boss(sikumbuki jina sijui inaitwa boss).Ila ile barau aliyoiandika mwanamke ina uhalisia kamchana jamaa kwamba hawezi kuvumilia maisha duni
My son is turning 2 years today but due to budget we are not telling him
Kwahiyo wewe ni mlaini au siyo??
Nikajua unaniambia nakuja [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Umenifanya nikumbuke ile nyimbo jamaa aligongewa mkewe na boss wake mtoto katoka c&p ya boss(sikumbuki jina sijui inaitwa boss).
Sipati picha akija [emoji16][emoji16][emoji16]Sasa hv lazima atupie habari za korosho na faida zake,,,kisha ana malizia na kapicha ka mkungu wa ndizi umelala kwa jirani[emoji23][emoji23]
[emoji736][emoji736][emoji736]100%