carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Jamaa wamepotea vibaya sana,so sad
Ngada habar nyingine ile,,imeteketeza kundi lote
Imebak historia hv sasa,jamaa walikuwa na nyimbo nyingi nzuri tena zenye maudhi ya ukweli sana.