Bro, sijafuatilia siku za hivi karibuni ila mwishoni mwa 2015 na 2016 mwanzoni dola 1 ilikua kati ya 2200 na 2300.Naambiwa leo Soko la Fedha za Kigeni limefungwa thamani ya dola 1 ikiwa shs 2,303/2,313. Kisa nini mbona shs imeshuka kwa kasi hivi, ni dola kupata nguvu sana duniani?