Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ma
Marahabaaa hahaha mzima kabisaHeshima yako dada mpole.
Mzima?
Marahabaaa hahaha mzima kabisaHeshima yako dada mpole.
Mzima?
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo linalotokea katika maisha yetu ya kila siku, na tusione kama Mungu hatupendi. Ukipata tatizo sema hili limekuja na mengine kumi yaje nipo tayari kuyapokea. Cheka then songa mbele na maisha yako.
Tujaribu kufanyia kazi matatizo yetu yanayotukabili na kuchukua hatua asap, bila hivyo hutapata suluhu ya kitu kinachokunyima furaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!Usiruhusu mtu ausononeshe moyo wako!! I always believe that my happiness is everything in my life.
hahahahha, under 18 utawajua tuu😀😀Ma
Marahabaaa hahaha mzima kabisa
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Bro kweli huelewi haya mambo? Wewe ndiyo wa kuulizwa aisee...unatutega [emoji16][emoji16][emoji16]Naambiwa leo Soko la Fedha za Kigeni limefungwa thamani ya dola 1 ikiwa shs 2,303/2,313. Kisa nini mbona shs imeshuka kwa kasi hivi, ni dola kupata nguvu sana duniani?