Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pesa. Polisi wanahongwa ili kuruhusu Alshabab. Hovyo kabisa

446529096_446690.jpeg
 
Huwa najiulizaga sana: kwa nini kwa wenzetu hawa viongozi kuwajibika ni rahisi sana? Yaani kakosa kadogo tu mtu keshaachia ngazi tena mwenyewe bila kuombwa na mtu. Huku kwetu Afrika mtu hata afanye madudu gani kamwe hawezi kujiuzulu labda atimuliwe; napo ni kwa mbinde na kubembelezana sana. Kwa nini?
 
Back
Top Bottom