Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatahivyo, Cardi B amefichua kwamba kabla ya kuingia katika fani ya muziki aliongezewa makalio huko mjini New York na kifaa alichowekewa ndani kilivuja kwa siku tano baadaye.

Katika mahojiano alisema kuwa alilipa takriban $800 (£564) kwa upasuaji huo baada ya kuwaona wachezaji densi wanzake walio uchi katika vilabu vya burudani walio na makalio makubwa wakipata fedha nyingi kumliko.
 
Kwa mnaodhani kushuka kwa Tsh ni jambo dogo ni hivi, Ukiangalia mapato ya kodi, kodi zitokanazo na uingizwaji wa bidhaa ndio kubwa kuliko kodi za biashara za ndani. Tsh ikishuka,ni kwamba kama ulikua unatumia laki 9 kununua mzigo, sasa utatumia 1m kununua mzigo ule ule. Upo hapo?
 
Nimeelewa boss. Nilikua nashangaa masuala ya dola dola wakati sie hali ya chini tunatumia shiling
 
DsE25fwW0AEuGYO.jpg
 
Huwa najiulizaga sana: kwa nini kwa wenzetu hawa viongozi kuwajibika ni rahisi sana? Yaani kakosa kadogo tu mtu keshaachia ngazi tena mwenyewe bila kuombwa na mtu. Huku kwetu Afrika mtu hata afanye madudu gani kamwe hawezi kujiuzulu labda atimuliwe; napo ni kwa mbinde na kubembelezana sana. Kwa nini?
Kila jambo na wakati wake walahi
Na sisi pia tuta fika tu walahi
 
Back
Top Bottom