capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
NimekusomaKwa mnaodhani kushuka kwa Tsh ni jambo dogo ni hivi, Ukiangalia mapato ya kodi, kodi zitokanazo na uingizwaji wa bidhaa ndio kubwa kuliko kodi za biashara za ndani. Tsh ikishuka,ni kwamba kama ulikua unatumia laki 9 kununua mzigo, sasa utatumia 1m kununua mzigo ule ule. Upo hapo?
TrueWayahudi na mnaowaita “mashoga” kwa mtu mwenye exposure unatakiwa jua hizi ni jamii mbili zenye nguvu sana duniani. Unatakiwa jipanga haswa kuwagusa. Kilichofanyika was unnecessary, Praying tuvuke hili salama
utamu wa ndizi lia na waliNdizi.
Hili pia ni tunda lenye jina kubwa kwa watu wengi wanaojali ulaji wa wa matunda, kwani ni tamu na lenya radha safi. Tunda hili husaidia kulainisha ngozi ya uso iliyokauka, kwa mfano utakuta kuna baadhi ya mafuta au rosheni zimechorwa ndizi. Kula ndizi ili urekebishe ngozi ya uso wako pamoja na kuupa uwezo mzuri wa umeng`enyaji chakula.
sawaPapai.
Ni tunda sahihi kabisa kati kukupa ngozi yenye mafauta, kurudishia au kuziba majeraha ya mwili. Papai pia hung`arisha ngozi rangi ya ngozi yako, yote haya hufanyika enzyme inayotokana na papai ambayo huitwa papain. Enadapo kama utaka kutumia papai katika ngozi yako, basi chukua asali changanya na papai liloiva nap aka usoni kwako kwa dakika kumi kisha safisha kisha utona kitakachotokea katika uso wako, utaonekana na kama ngozi ya mtoto wa siku moja.
😀😀😀Pamoja na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia yanayoendelea kutokea Duniani, bado silaha ya Mgambo imeendelea kuwa ileile RUNGU
Very interestingDon' t despair and never lose hope cause Allah is always by your side.
Asante sanaMuwe na siku njema
pamoja sanaMuwe na siku njema
Siku nyingine weka somo kuhusu kutakakatisha pesa.Vizuri sana kama imeeleweka.
Kuna wataalamu wa Uchumi hapa, tutawaomba watoe maelezo sahihi kuhusiana na hii.Siku nyingine weka somo kuhusu kutakakatisha pesa.