Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446730310_313376~2.jpeg
 
Si ajabu ndiye umeidizaini na ndiye mmiliki wake. Haina mizengwe yo yote niijaribu? Haya mambo ya Western Union yanachosha

Sijahusika hapa, Benjamin Fernandes ndo mmiliki wa APP nadhani.

Ina simplify mlolongo wa kufanya muamala, kuangalia pesa kwa acc ama kulipia huduma kupitia M-pesa n.k.

Jaribu ni nzuri.
 
Bashite atatumaliza. Fulu kukurupuka. Kila kitu kwake ni imejensi. Anaanzisha hili halifiki popote anadandia jingine. Ishu zingine zinataka utulivu sana na busara.

Ustaharabu ni kitu Muhimu sana, Wenzetu ni wastaarabu Mno!

Tanzania mtu mlopokaji anaitwa jasiri/msubutu.

Hatuwezi kufika kwa kauli zisizo jali jamiii na ustaharabu wa watu wengine, vizuri kuheshimiana!
 
Back
Top Bottom