Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BCEE9C5D-63BD-4AF3-9300-A7F65BFF3AAB.jpeg
 
Habari mkuu?

Kuna chapisho moja uliliweka jana humu jukwaani lilikuwa likionyesha jamaa ambaye alipata ajari sababu alikuwa over speed na aligongana na rafiki yake. Habari ulivyoiweka ilikuwa imeungana yoote, pia ilikuwa na picha. unakumbuka?

Lakini picha zile hazikuwa zikionekana ( yaani haziku-apply) zilikuwa zinaonyesha 0% na haziendelei Na kusema ukweli najua ni habari ambayo inavutia sana lakini sikufanikiwa kuziona picha lakini maandishi yalikuwa yanaonekana.

Asanteh [emoji120]

Invisible Moderator
Salama bro.

Ntajaribu kupost tena.Ntakutag mkuu.
 
Back
Top Bottom