I agree with you
Ijapokua yote ni majaniBangi sio spinach
Na wala mungu sio OthomaniPombe sio chai
Mla jana kala niniMla kalaleo
La kesho haliumizi mgongoWa jana kala nini
Ebu elezea mkuu kazi nyingine ya tunda hilo kwa faida ya watazamajiTUNDA la embe linafahamika kutokana na kuwa na walaji wengi, lakini pamoja na kuliwa, lina kazi nyingi katika mwili wa binadamu.
Majani ya mpela hufanya kazi hiyo piamajani machanga yakichemshwa ni dawa ya pumu na pia huondoa matatizo ya kifua kikavu na kilichoiva.
Ahsante dokta kwa uzindushiKokwa
Wakati watu wengi wakiwa wanatupa kokwa kila wanapomaliza kula tunda hilo, Mandai anasema unga wa mbegu la mti huo ukinywewa mara 3 kwa siku ni dawa ya kuzuia kuharisha na kuhara damu.
SwadaktaTunda
Watu wengi wakiwa wanapenda kula tunda hilo, ukweli ni kwamba hawajui kama wanajitibu minyoo na kuzuia uvujaji ovyo wa damu.