Duh!![emoji122] View attachment 936877
Mungu Anasaidia kwa kweli. Siwezi kulalamika [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nzuri Alhamdulilah,Vipi za kwako.
Wewe jirani ukiguna basi bila shaka maji yamezidi unga [emoji16][emoji16][emoji16]Duh!!
Hakika
LasagnaBeef
Hahaha!!
Si pati maana yake
Najaribu kuunga dots
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nimejikuta nawaza tu kwa sauti.Una maswali magumu samutaimuzi...
Kwema?
Mwenzio waifu wa mtu komando kaenda kutesti zali ya sirii samu wewe unaleta maswali kibao. Kha !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kichwa kina MB 2 hk[emoji23]Teh!
Mzima lakini?