Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mjini msingi kiuno[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Screenshot_2018-11-14-15-46-31-1.jpeg
 
Fedha ni namba na namba haina mwisho kwa hiyo kama unatafuta pesa ili uwe na furaha au ukamilishe kitu fulani basi utatafuta sana na mwishowe utachoka.
 
Umeitizama hiyo picha vzr uliyoiweka hapo juu??huyo dada anaonekana amevaa pete,,sijui sana khs uvuaji wa pete,kuna pete ya uchumba na ndoa,,,
Talk to me son
Swali langu lipo hv,,
Kwann wanandoa pindi wanapokuwa wanachepuka,,,pete za ndoa huwa wanazvua kwanza then ndio wanafanya mambk yao,,awe nk mwanaume ndio anachepuka basi atavua ile pete then mambo mengine yatafata,,hvyo hvyo hata kwa mwanamke aliye kwenye ndoa,akitaka kuchepuka anavua kwanza ile pete.

Kuna madhara gan pindi akichepuka buku ile pete akiwa ameivaa??

Kwa maana hyo kumbe ndoa ni ile pete,maana inaonekana inaheshimiwa tofaut na kitu kingine
 
Back
Top Bottom