Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
salama carbamazepine habari ya weweHabari zenu
salama carbamazepine habari ya weweHabari zenu
Salama tu jakitoosalama carbamazepine habari ya wewe
Mbunge wa kwela Rukwa, akawa RC Moro, Kigoma. Mwana siasa mwenye maono. Kwa sasa ni Mafanyabiashara mmiliki wa shamba la ng'ombe na kiwanda cha kusindika minofu SumbawangaHivi huyu mtu yuko wapi? Alikuwa NDC
CHRISANT MAJIYATANGA MZINDAKAYA Kigoma line!
karibu maglassHabari zenu
Asante nimekaribiakaribu maglass
Pole sanaIts my family issues ,kuziweka hapa napo si vzr. Acha nife na tai shingoni tu.
Hi babeCole Williams
Mungu akujaalie upate ufumbuzi soonWakuu mpo,niko stressed na matatizo ya kifamilia mwenzenu, yaan dah basi.