carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kulia kunakupa ahueni kidogo especially kama huna mtu wa kumwambiaLiaa,yakinikuta huwa nalia weee mpaka machungu yaishe moyoni ndo napata nguvu ya kukabili ugumu uliojitokeza
Kulia kunakupa ahueni kidogo especially kama huna mtu wa kumwambiaLiaa,yakinikuta huwa nalia weee mpaka machungu yaishe moyoni ndo napata nguvu ya kukabili ugumu uliojitokeza
Toa likes Pata likes...hapana..
huko nilihama...sipapendiNiko jiji la bashite
Tell themWeka likes pata malike
Polehuko nilihama...sipapendi
Kulia kunakupa ahueni kidogo especially kama huna mtu wa kumwambia
Toa likes Pata likeskaribu sana
asantePole
Kweli kabisaNa bora kuambia anonymous kama alivyofanya hapa kuliko mtu anayemfaham na akaenda eneza umbea zaidi
Spectacular walahiI=intelligent
S =spectacular
I=irreplaceable
S =special one
ISIS
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Spectacular walahi