Yes yes yoo
Ila hiyo ilikua ni Afrimma ilifanyika oktoba
Hii ya jana ni Afrima ndio naishusha
Hahah huyo Edi Kenzo ukikutananae tu kwenye categori yeyote jua umeumia lazima aichukue yeyeOk.
Halafu kunabhuyu esi kenzo jamaa sijui huwa anaimba nini lakini naona vi awards vingi anabeba
Eti anapendwa kama kiba tz,mie nilijua mond ndo kipenzi cha watz[emoji23][emoji23]Hahah huyo Edi Kenzo ukikutananae tu kwenye categori yeyote jua umeumia lazima aichukue yeye
Jamaa anapendwa sana kule kwao Uganda kama Kiba Tz